Hassan MorowaMay 11, 20181 minNI KIPI HAKISHIBISHI?Chakula gani huliwa, lakini hakishibishi Kukila wajisumbuwa, hata kingi hakitoshi Kukipapia si dawa, simlaumu mpishi Ni kipi hakishibishi...
Mohamed MorowaMay 11, 20181 minMGENI WETU RAMADHANIGharibu wetu kongoni, muini kwetu ingia Sana tulikutamani, kutwa twakufikiria Leo tuko furahani, kwa nderemo kurubia Karibu mgeni wetu, m...